Perfect Crispin ni mtangazaji wa Clouds FM ambaye hapa anatusogezea stori zilizochukua headlines kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva, ambapo leo July 12, 2016 ametusogezea hizi stori tatu ikiwemo ya Shilole kutafuta mwalimu wa kumfundisha lugha mbalimbali.
‘Ni
kweli nataka nirudi darasani nisome lugha ya kingereza kwani ni lugha
ambayo imekuwa ikinipa changamoto nyingi mno, kwa sasa ndo niko kwenye
mchakato kwani unajua mwisho wa siku sitaki niaibike pale nitakapokutana
na wakina Beyonce kwahiyo hii ni heshima kubwa kwenye muziki wetu wa
Bongo Fleva’- Shilole
No comments:
Post a Comment