Kama utakuwa unakumbuka Mo Music
hivi karibuni aliingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kutangaza
kwamba ameachana na menejimenti yake iliyokuwa ikisimamia kazi zake.
Sasa Ayo TV imemtafuta na kumuuliza sababu zilizomfanya achukue uamuzi huo na kusema…’Sidhani
kama nitaliongea zaidi hilo kwanza ningependa kuwapongeza kwamba
wamenitoa mbali mpaka hapa nilipofika, kitu ambacho sitaweza kuwasahau
ni pale ambapo nilipokuwa nikipata matatizo wanaonesha ushirikiano mzuri
sana’- Mo Music
No comments:
Post a Comment