Michuano ya Euro 2016 imemalizika lakini kuna mambo mengi ya kukumbukwa kutoka katika michuano hiuyo ya 51 ambayo imemalizika kwa Ureno kuibuka kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya mwenyeji Ufaransa, moja kati ya vitu vya kukumbukwa mtu wangu ni TOP 5 ya magoli bora ya Euro 2016 yaliofungwa katika hatua ya mtoano.
No comments:
Post a Comment