Jay Z na mke wake Beyonce bado wataendelea kuwa mfalme na malkia kwenye muziki kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa Forbes, wawili hao ndio couple ya watu maarufu
walioingiza fedha nyingi zaidi mwaka jana kwa kuweka benki dola milioni
107.5.
Queen Bey peke yake aliingiza dola milioni 54 na kukamata nafasi ya
54 katika orodha ya mastaa 100 waliongiza fedha nyingi, huku mumewe
akiingiza dola milioni 53.5 na kukamata nafasi ya 36.
Mwaka jana Taylor Swift na Calvin Harris walichukua nafasi hiyo.
No comments:
Post a Comment