CONFIRMED: Tarajia hii collabo ya Vanessa Mdee na msanii kutoka Nigeria
Baada ya kufanya collabo na KO wa South Africa, kituo cha Mtv Base kimeripoti collabo nyingine ya mrembo Vanessa Mdee na hit maker wa mdundo wa My Woman Patoranking, mdundo ambao utatayarishwa na producer Dj Maphorisa, Mtu wangu usisahau kuniachia commentya ujio wa hii collabo hapa chini na wakali hawa wataziona hapa.
No comments:
Post a Comment