Tuesday, July 12, 2016

Video: Dj D-Ommy & Darassa Freestyle Session

DJ D-Ommy wa Clouds FM ametoa freestyle session na Darassa iliyoruka kwenye kipindi cha Siz Kitaa na Casto Dickson kupitia Clouds TV siku ya Ijumaa. Kama hukuiona, unaweza kuitazama hapo chini.

No comments:

Post a Comment