Hii ni fahari kwa lebo ya WCB kummiliki msanii mwenye kipaji kikubwa alichobarikiwa Raymond kinachowafanya mashabiki kuanza kumtazama kwa jicho la mbali.
Mpaka sasa Raymond ameshaanza kujitengenezea fan base yake kutokana na uwezo aliokuwa nao wa kuimba, kuandika pamoja na kutengeneza melody kwenye muziki na kuwasasidia wasanii wengine.
Kupitia akaunti ya Babu Tale, amepost kipande cha video kinachomuonesha Raymond akiimba wimbo wa Passenger ‘Let Her Go’ aliouachia July 2012.
Tazama video hapa.
No comments:
Post a Comment