Serikali
ilitangaza kwamba wanaotumia namba binafsi za magari kote Tanzania
watatakiwa kulipa shilingi milioni 10 kwa kipindi cha miaka tatu ikiwa
ni ada mpya na sio milioni tano kama ilivyokuwa awali.
Wakati ada hiyo mpya ikianza kufanya kazi, meneja wa TRA Arusha April Mbaruku amesema
idadi ya magari yenye namba binafsi kwenye mkoa huo ambayo yalilipiwa
kipindi cha ada ya milioni tano ni sita tu na hakuna gari lolote
lililolipiwa ada mpya ya milioni kumi.
No comments:
Post a Comment