Staa wa muziki Marekani, Omarion na mpenzi wake Apryl Jones wameachana baada ya kufanikiwa kupata watoto wawili.
Omarion (31) na Apryl (29) wamefanikiwa kupata watoto wawili kwenye
mahusiano yao ambao ni Megaa Omari na A’mei Kazuko mwenye miezi minne.
Kupitia akaunti ya instagram Omarion ameweka picha yenye ujumbe uliosomeka:
“your chiccckkkkkk!! . New everything! Stand by!! It’s a lot (feels)
COMING YOUR WAY!! & If I don’t feel the music! You won’t either.
Let’s make this a fair exchange. #Bodyonme #Reasons
#lit#workedhardtochangemylife p.s. Tell your friends I’m playing
different these days. . .,” ameandika Omarion kwenye mtandao huo.
No comments:
Post a Comment