Alton Sterling aliuawa wiki iliyopita na polisi wa kizungu wa Marekani huko Louisiana wakati akiuza CD kwenye eneo la kuegesha magari.
Kupitia akaunti yake ya instagram, August Alsina aliandika, “AltonSterling’s Aunt & The Store Owner who watched this tragedy play out. 2 People of God with Amazing strength…. but just because we’re strong doesn’t mean we don’t hurt.

Mastaa kadhaa wa Marekani wamepinga kitendo hicho cha mauaji ya watu weusi yanayoendelea ndani ya nchi hiyo akiwemo Snoop Dogg, The Game, Beyonce, Fabolous, T.I, Chris Brown na wengine wengi.
No comments:
Post a Comment