“Now days things are changing and I am going crazy, have you seen the pictures who changed and became gay,” anarap Roma kwenye wimbo huo.
Kwenye ngoma hiyo, Roma amewashirikisha Darassa na Jos Mtambo huku producer akiwa ni J-Ryder.
Video ya wimbo huo imeoongozwa na Nick Dizzo.
No comments:
Post a Comment