Jumamosi ya July 9 2016 majina ya nominees watakaowania tuzo za Ligi Kuu soka Tanzania
bara (VPL) msimu wa 2015/2016 yalitajwa, July 17 2016 ndio siku rasmi
ya utolewaji wa tuzo hizo, tuzo hizo kwa msimu wa 2015/2016 zitatolewa
13 kwa vipengele 13 vilivyotajwa.
Miongoni mwa majina au vipengele vilivyopo ni tuzo ya mchezaji bora wa kigeni, ambapo katika Category hiyo ametajwa Thabani Kamusoko, Donald Ngoma wa Yanga ambao wote ni raia wa Zimbabwe na Vincent Agban wa Simba raia wa Ivory Coast. Ayo TV ilimpata katika exclusive Thabani Kamusoko, alitarajia kuwa nominated?
muangalia hapa chini:VIDEO By AyOTv
No comments:
Post a Comment