Wednesday, August 17, 2016

Video/Picha: Warembo kwenye video mpya ya Alikiba ni hatari

Alikiba yuko mbioni kuachia silaha yake mpya. Staa huyo wa ‘Aje’ ameonjesha kidogo kile kitakachoonekana kwenye video ya ngoma yake mpya, na mashallah itakuwa na warembo haswaaa.



Staa huyo ameshare picha akiwa mbele ya jumba la kifahari na warembo wanane jijini Johannesburg, Afrika Kusini alikokuwa huko mwezi uliopita.
Pia ameshare video akiwa na video queen aitwaye, Michaela Roy
Haijulikani video hiyo itatoka lini lakini kama ameanza kuonjesha vitu hivyo sasa hivi kuna dalili kuwa hivi karibuni atakinukisha.

No comments:

Post a Comment